Home Uncategorized MAURIZIO SARRI HATIHATI KUIKOSA PARMA JUMAMOSI, HALI YAKE SIO NJEMA

MAURIZIO SARRI HATIHATI KUIKOSA PARMA JUMAMOSI, HALI YAKE SIO NJEMA


UONGOZI wa Juventus umethibitisha kwamba kocha wao Maurizio Sarri anasumbuliwa na Nimonia na ripoti zimethibitisha kuwa mapafu yake yapo katika hali mbaya sana.

Sarri huenda akakosekana kwenye benchi la ufundi kwenye mechi dhidi Parma siku ya Jumamosi.


Sarri amejiunga na Juventus msimu huu akitokea klabu ya Juventus ambayo kwa sasa ipo chini ya Frank Lampard.

SOMA NA HII  WATANO WA AZAM FC KUIKOSA RUVU SHOOTING LEO