Home Uncategorized DUH! MATIZI YA AZAM FC NOMA

DUH! MATIZI YA AZAM FC NOMA


AZAM FC wamepania kufanya kweli kwenye mchezo wa kimataifa wa marudio dhidi ya Fasil Kenema ya Ethiopia utakaochezwa Jumamosi Uwanja wa Chamazi.

Azam FC wanaendelea na mazoezi kwenye viwanja vya Chamazi ikiwa ni mchezo wa pili wa Kombe la Shirikisho baada ya ule wa kwanza kupoteza ugenini kwa kufungwa bao 1-0.

Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragije amesema wapo tayari kwa ajili ya kupata matokeo chanya na makosa yao wanayafanyia kazi.

SOMA NA HII  HIZI HAPA NNE ZA LIGI KUU BARA MAMBO BADO MAGUMU