Home Uncategorized KIPINDI CHA PILI: SIMBA 1-1 KMC

KIPINDI CHA PILI: SIMBA 1-1 KMC


MCHEZO wa kirafiki kati ya Simba na KMC Uwanja wa Simba Mo Arena kwa sasa ni kipindi cha pili.

KMC ilianza kufunga bao la kwanza kupitia kwa Charles Ilanfya na Simba walisawazisha kupitia kwa John Bocco.

Mashabiki wamejiokeza kwa wingi kushuhudia burudani ambayo waliikosa tangu Machi 17. 

SOMA NA HII  MANULA AAHIDI JAMBO KUBWA LIGI KUU BARA NA CAF, AWAUMIZA YANGA - VIDEO