Home Uncategorized KIPIGO WALICHOPOKEA YANGA CHA MABAO 3-0 MBELE YA KMC NI FAIDA KWAO

KIPIGO WALICHOPOKEA YANGA CHA MABAO 3-0 MBELE YA KMC NI FAIDA KWAO

Na Saleh Ally

NINAAMINI mechi ya kirafiki dhidi ya KMC jana imekuwa na faida kubwa sana kwa Yanga na hasa benchi la ufundi.

Kwa mashabiki kimekuwa kitu cha kuumiza moyo lakini ule ndio uhalisia, kikosi chao kinalazimika kufanya kazi ya ziada kusimama na KMC wamekuwa kipimo bora kabisa.

Jiulize Yanga wangeingia kwenye ligi kabla ya kucheza na KMC?! SASA KINACHOTAKIWA KUFANYA… Yanga wawaachie kazi benchi la ufundi kubadilisha mambo maana Mkwasa naye amekiri udhaifu na hasa stamina na hata pumzi ya kutosha lakini pia tumejifunza kuwa wachezaji hawakuwa SIRIAZ wakati wa mapumziko.

SOMA NA HII  KUMBE, KOCHA WA SAMATTA ALIJUA UWEZO WAKE UNGEFIKA UKINGONI DAKIKA HIZI, CHEKI ALICHOMWAMBIA