Home Uncategorized TANZIA:NKURUNZIZA AFARIKI

TANZIA:NKURUNZIZA AFARIKI


ALIYEKUWA Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amefariki dunia kwa kile kinachoelezwa kuwa ni shambulio la moyo leo Juni 9,2020.

Serikali ya Burundi imethibitisha kifo cha kiongozi huyo .

Enzi za uhai wake alikuwa anapenda masuala ya michezo na alikuwa akicheza timu ya Haleluya FC.

Mechi yake iliyoacha gumzo ni ile dhidi ya Kiremba, Kaskazini mwa Burundi ambapo wachezaji kutoka Congo wa timu pinzani hawakujua kuwa wanacheza na Rais walikamia mwanzo mwisho.

SOMA NA HII  MBELGIJI WA SIMBA HESABU ZAKE ZIPO NAMNA HII