Home Uncategorized TIMU YA ALLIANCE GIRL’S YAPATA AJALI

TIMU YA ALLIANCE GIRL’S YAPATA AJALI

Alliance Girls wamepata ajali wachezaji eneo la Buhongwa, Mwanza walikua wakitoka Kigoma walikocheza jana mechi yao na Kigoma Sisterz

Poleni sana wana Alliance Girls, kuna majeruhi, tuwaombeeni nafuu ya haraka.

Kwa sasa taarifa zinaeleza kuwa wachezaji wanne wamepata majeraha ila wapo hospital.

SOMA NA HII  SIMBA vs YANGA NI KISASI NA HESHIMA VYOTE KATIKATI YAKE