Home Uncategorized BEKI SIMBA APATA DILI UJERUMANI MWAKA MMOJA

BEKI SIMBA APATA DILI UJERUMANI MWAKA MMOJA


EMILLY Mugeta beki wa zamani wa Simba amepata dili la kujiunga na Klabu ya Freiburger FC.

Nyota huyo, raia wa Tanzania amesaini kandarasi ya mwaka mmoja ndani ya Klabu hiyo akitokea timu ya  SV Endingen.

Timu aliyosaini nyota huyo inashiriki Ligi Daraja la Tano nchini Uingereza.

SOMA NA HII  MUONEKANOWA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA