Home Uncategorized HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOWAVAA SIMBA KESHO, MOLINGA NDANI

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOWAVAA SIMBA KESHO, MOLINGA NDANI


KESHO Uwanja wa Taifa, Julai 12 kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka kati ya Simba na Yanga wa hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho.

Yanga ilitinga hatua hiyo baada ya kushinda mabao 2-1 mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali uliochezwa Uwanja wa Taifa.

Kwa mujibu wa Championi Jumatano wamewapa nafasi wachezaji hawa hapa wa Yanga kuwa wataanza kwenye kikosi cha kwanza kesho:-

Metacha Mnata

Jaffar Mohamed

Juma Makapu


Lamine Moro

Juma Abdul

Haruna Niyonzima

Fei Toto

Kelvin Yondani

Bernard Morrison

Ditram Nchimbi


David Molinga

SOMA NA HII  HUYU NDIYE LACAZETTE KAMA LACAZETTE