Home Uncategorized LIVE: SIMBA 1-0 YANGA

LIVE: SIMBA 1-0 YANGA

UWANJA wa Taifa
Mchezo wa Kombe la Shirikisho 
Simba 0-0 Yanga

Inaongezwa dakika moja
Dakika ya 45 Simba wanapata kona haizai matunda, Abdul anaonyeshwa kadi ya njano Dakika ya 42 Kenned anamchezea faulo Morrison inapigwa faulo na YangaDakika ya 40 Manula anaanzisha kwa Kapombe 
Dakika ya 39 Kaseke anachezewa faulo na Kahata
Dakika ya 37 Mnata anaokoa hatari langoni mwake
Dakika ya 36 Lamine anaonyeshwa kadi njano kwa kumchezea rafu Luis
Dakika ya 35 Kahata anapeleka kwa KapombeDakika ya 32 Wawa anacheza faulo kwa Niyonzima 
Dakika ya 31 Bocco anapaisha ndani ya 18Dakika ya 28 Morrison anampa pasi ngumu Niyonzima inatoka njeDakika ya 27 Simba wanaanza mashambulizi

Dakika ya 26, Tshishimbi,  Fei, Jafary, Morrison 
Dakika ya 21 Gooool Fraga asisti ChamaDakika ya 19 Simba wanapata faulo, Kahata anaokoabshuti la KahataDakika ya 15 ushindani ni mkubwa na kila timu ilipandisha mashambulizi 
Dakika ya 14 Chama anapoteza moira ndani ya 18Dakika ya 11 Kapombe anachezewa faulo na Fei Toto 
Dakika ya 10 Mkude kwa Fraga, Mkude, KahataDakika ya 7 Abdul anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 6 Mnata anaokoa shuti la Mkude
Dakika ya 03 Yanga wanapata kona ya Kwanza baada ya mpira kuokolewa na Kenned Juma

SOMA NA HII  TANZANITE KUMALIZANA NA ZAMBIA LEO COASAFA