Home Uncategorized VPL: BIASHARA UNITED 0-0 YANGA

VPL: BIASHARA UNITED 0-0 YANGA


KIPINDI cha Kwanza Uwanja wa Karume.



Biashara United 0-0 Yanga

Zimeongezwa dakika 3
Dakika 45 zimekamilikaDk 44 Redodo anafanyiwa faulo Juma Abdul anaonyeshwa kadi ya njanoDakika ya 36 Yanga wanapata kona

Dakika ya 31 Biashara United walipata faulo haijazaa matunda

Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona burudani Uwanja wa Karume, Mara.

SOMA NA HII  SIMBA WATUA KIBABE ZIMBABWE,SERIKALI YAWAPOKEA, MPANDA MPIRA AKOSEKANA