Home Uncategorized VPL;NDANDA 0-0 SIMBA

VPL;NDANDA 0-0 SIMBA

Kipindi cha Kwanza Uwanja wa Nangwanda Sijaona

VPL: Ndanda 0-0

Dakika ya 38 Bocco anapiga kichwa kinakwenda pembeni kidogoDakika ya 37 Luis anapeleka mashambulizi Ndanda 
Dakika ya 36 Ndanda wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 33 Mkude anampelekea Gadiel, Chama Gadiel,Chama

Dakika ya 30 Kanda anajaza majalo mbele yanakutana na Mayanga

Ndanda waliwapa heshima Simba ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu Bara 

SOMA NA HII  GWAMBINA FC YAWAOMBA WADHAMINI WAJITOKEZE KUIPA SAPOTI