Home Uncategorized NELSON MANDELA KUPO HIVI

NELSON MANDELA KUPO HIVI

LEO, Agosti 2 Uwanja wa Nelson Mandela utakuwa na kazi ya kubeba miguu 22 ya wanaume kutoka timu mbili wakisaka taji la Kombe la Shirikisho majira ya saa 9:00 alasiri.

Mchezo wa leo ambao ni wa fainali unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa huku ukiwa umebeba hisia kubwa kwa mashabiki pamoja na timu zote kujipanga kuhitaji ushindi.

Tayari mashabiki wameanza kujitokeza kwa wingi ndani ya uwanja ili kushuhudia fainali ambayo ni ya kwanza kufanyika kwenye Uwanja wa Nelson Mandela siku ya leo.

SOMA NA HII  SOLSKJAER: SARE NI KIPIMO CHA UWEZO WA WACHEZAJI WANGU