Home Uncategorized LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO, HIZI HAPA KUMENYANA MKWAKWANI

LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO, HIZI HAPA KUMENYANA MKWAKWANI

 


LEO Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo raundi ya nne inakamilika kwa mechi moja kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani majira ya saa 10:00 jioni.


Mchezo wa leo ni kati ya Coastal Union inayonolewa na Juma Mgunda dhidi ya JKT Tanzania inayonolewa na Mohamed Abdalah.


Coastal Union imetoka kulazimisha sare ya bila kufungana mchezo wake uliopita mbele ya Dodoma Jiji ambapo JKT Tanzania inaingia uwanjani ikiwa imetoka kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 mbele ya Polisi Tanzania.

SOMA NA HII  NDEMLA, SURE BOY HAO YANGA NI NDANI YA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU