Home Uncategorized RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO INAKWENDA NAMNA HII, SIMBA, AZAM FC...

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO INAKWENDA NAMNA HII, SIMBA, AZAM FC KAZINI


 LEO Jumatatu, Ligi Kuu Bara inaendelea kwa timu tatu kusaka pointi tatu ndani ya uwanja namna hii:-


Mtibwa Sugar yenye pointi zake nane baada ya kucheza mechi saba inakutana na Azam FC yenye pointi zake 21 baada ya kucheza mechi saba, Uwanja wa Jamhuri, Moro.


Dodoma Jiji yenye pointi 12 inakutana na Tanzania Prisons yenye pointi tisa.Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.


Simba ikiwa na pointi zake 13 baada ya kucheza mechi sita inakutana na Ruvu Shooting yenye pointi tisa, Uwanja wa Uhuru.

SOMA NA HII  ARUSHA FC YAIANGUKIA TFF NA WADAU, HALI NI TETE