Home Uncategorized KAZE ANA KAZI YA KUPAMBANA NA VIGONGO VITANO VYA MOTO NOVEMBA

KAZE ANA KAZI YA KUPAMBANA NA VIGONGO VITANO VYA MOTO NOVEMBA


KOCHA Mkuu, Cedrick Kaze ana kibarua cha kusaka pointi 15 kwenye mechi zake tano ambazo atakuwa uwanjani na timu yake kwa mwezi Novemba.


Uzuri ni kwamba tayari ameshaanza kutengeneza kikosi chake kwanza na leo ana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Gwambina FC, Mwanza.

Kete zake za Oktoba zipo namna hii:-

Gwambina v Yanga,Novemba 4.


Yanga v Simba, Novemba 7.

Yanga v Namungo, Novemba 22.

Azam FC v Yanga, Novemba 25.

Yanga v JKT Tanzania, Novemba 28. 
SOMA NA HII  NYOTA STARS : ITAKUWA BAHATI KWA BURUNDI KUPONA TAIFA