Home Uncategorized KUONA UJANJA WA IBRAHIM AJIBU, AME NA WAWA BUKU TATU TU

KUONA UJANJA WA IBRAHIM AJIBU, AME NA WAWA BUKU TATU TU


 KIKOSI cha Simba kilicho chini ya Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck leo Novemba 16 kitakuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya African Sports utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex.


Kwenye mchezo wa leo kuona maujanja ya Pascal Wawa, Ibrahim Amen na Ibrahim Ajibu ni buku tatu tu, (3,000).


VIP itakuwa buku tano (5,000). Mchezo wa leo utachezwa saa 1:00 usiku.  

SOMA NA HII  YANGA YAJIPIGIA SINGIDA UNITED 3-1, EYMAEL ACHEKELEA USHINDI