Home Uncategorized MECHI ZA SIMBA NA NAMUNGO ZAPELEKWA MBELE

MECHI ZA SIMBA NA NAMUNGO ZAPELEKWA MBELE

 


BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) imeiondoa Kwenye ratiba michezo miwili, namba 116 ambao ulikuwa ni dhidi  ya Simba v KMC na mchezo namba 119 ulikuwa kati ya Namungo v Biashara United. 


Taarifa iliyotolewa na TPLB kwa vyombo vya Habari leo Novemba 23 imeeleza kuwa mechi hizo zimevadilishwa tarehe ili kulipa nafasi timu za Simba na Namungo FC kufanya maandalizi Kwenye mechi za kimataifa.


Taarifa hiyo imeeleza hivi:-




SOMA NA HII  SAMATTA ATAKA MABAO 14 VILLA