Home Uncategorized LEICESTER CITY YATOSHANA NGUVU NA UNITED

LEICESTER CITY YATOSHANA NGUVU NA UNITED

 


UWANJA wa King Power, mchezo wa Ligi Kuu England wababe wawili wametoshana nguvu ndani ya dakika 90 kwa kufungana mabao 2-2.


Kipindi cha kwanza:-

Marcus Rashford dakika ya 23 Goal likasawazishwa na Harvey Barnes dakika ya 31.


Kipindi cha pili:- Bruno Fernandes dakika ya 79 Goal likasawazishwa na Jamie Vardy dakika ya 85.


FT: Leicester City 2-2 Manchester United

SOMA NA HII  MAMBO BADO HAYAJAWA SHWARI NDANI YA ENGLAND