Home Uncategorized LIGI YA MABINGWA: SIMBA 0-0 PLATEAU UNITED

LIGI YA MABINGWA: SIMBA 0-0 PLATEAU UNITED

 


MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya awali


Uwanja wa Mkapa


Kipindi cha Kwanza


Simba 0-0 Plateau United 

Dakika ya 29 Wasilu anaunawa mpira na kusababisha faulo 

Dakika ya 27 Mkude anasababisha kona

Dakika ya 24, Plateau United wanafanya jaribio la pili linaokolewa na Manula

Dakika ya 23 Manula anaokoa hatari

Dakika ya 22 Simba inapata kona inapigwa na Luis

Dakika ya 19 Plateau United wanaanzisha mashambulizi kwenda Simba

Dakika ya 17 Luis anachezewa faulo na Issa Ndala ambaye anakula sahani moja na Luis

Dakika ya 16 Bocco anaotea

Dakika 15 za kipindi cha Kwanza hakuna ambaye ameona lango, Plateau United wamekuwa na utulivu mkubwa Kwenye kujilinda huku Simba wakionekana kukosa utulivu katika kushambulia

Dakika ya 13 Bocco anamtengea pasi ya kisigino Mzamiru anaipaisha juu mazima

Dakika ya 12 Kapombe anamwaga maji mbele yanakutana na Luis anapiga nje ya lango 

Dakika ya 11 Mzamiru anapeleka mashambulizi kwa Plateau United 

Dakika ya 10 Tshabalala anapeleka mashambulizi Plateau United 

Dakika ya 9 Mkude anafaya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 8 Kapombe anafanya jaribio linaokolewa 

Dakika ya 6 Kapombe anamchezea faulo mchezaji wa Plateau United 

Dakika ya 4 Mzamiru anachezewa faulo 



SOMA NA HII  WAKATI FEI TOTO AKIZIDI KUDENGUA...MUDATHIRI AITEKA 'SHOW' YANGA...NABI KAPAGAWA MAZIMA...