Home Uncategorized KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

KIKOSI CHA SIMBA KINACHOTARAJIWA KUANZA LEO DHIDI YA YANGA, KOMBE LA MAPINDUZI

NI muda tu unasubiriwa kwa sasa kabla ya watani wa jadi Yanga v Simba kukutana ndani ya Uwanja wa Amaan, kusaka ushindi wa taji la Kombe la Mapinduzi.


Kwa mujibu wa gazeti la Championi Jumatano hiki hapa kikosi kwa Simba kinatarajiwa kuanza pamoja na rekodi zake kwa hao wachezaji:-

Beno Kakolanya, amefungwa mabao mawili, mechi tatu amekaa langoni.

David Kameta ana pasi mbili za mabao

Mohamed Hussein ana pasi moja ya bao

Kennedy Juma

Joash Onyango

Thadeo Lwanga

Mzamiru Yassin

Meddie Kagere ametupia mabao mawili

Francis Kahata

Miraj Athuman mabao manne

Hassan Dilunga ametupia bao moja

SOMA NA HII  MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO