Home EURO 2020 HIZI HAPA TAKWIMU ZA MABAO YA PENALTI YA RONALDO NA MESSI

HIZI HAPA TAKWIMU ZA MABAO YA PENALTI YA RONALDO NA MESSI


BAADA ya jana kufanikiwa kufikia rekodi ya Ali Daei ya kufunga mabao 109 katika michezo ya timu za Taifa, kupitia mikwaju miwili ya penalti, watu wengi wamekuwa na maoni tofauti katika takwimu za mabao hayo ya Ronaldo ambapo baadhi wanasema yametokana na kuwa na mabao mengi ya penalti.

Sasa hizi hapa ni takwimu za penalti kwa RONALDO, na MESSI kwenye mechi za Kimataifa

RONALDO

Mabao 109

Penati 14

MESSI

Mabao -73

Penati -17

SOMA NA HII  STERLING AUWASHA MOTO ENGLAND, EURO 2020