Home kimataifa MDOGO WA MBAPPE ASAINI NDANI YA PSG

MDOGO WA MBAPPE ASAINI NDANI YA PSG


 MDOGO wa nyota wa Klabu ya Paris Saint-Germain,(PSG) Kylian Mbappe aitwaye Ethan Mbappe mwenye umri wa miaka 15, amesaini kandarasi mpya ya miaka mitatu hadi 2024 kuitumikia klabu hiyo ya Paris Saint-Germain.

 

Ethan ana uwezo wa kucheza kama mshambuliaji wa kati au winga ambaye alikuwa na kiwango bora kabisa kwenye mashindano ya International Champions Cup ya mwaka 2019.

 

Pia PSG kupitia tovuti yake wametangaza kumsajili Kinda Senny Mayulu ambaye amezaliwa mwaka 2006 na amesaini mkataba wa miaka mitatu mpaka 2024.

SOMA NA HII  KISA KIWANGO KIBOVU....MAGUIRE APEWA SAA 72 ZA KUSEPA MAN UNITED....WAKALA WAKE APEWA BARUA...