Home video VIDEO: MWAKATALIMO ATUMA SALAMU KWA AZAM FC, AWASHAURI MBEYA CITY

VIDEO: MWAKATALIMO ATUMA SALAMU KWA AZAM FC, AWASHAURI MBEYA CITY

MWAKATALIMO amesema kuwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Mbeya City ni salamu kwa wapinzani wao Azam FC kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Majimaji, Songea. Pia amewashauri Mbeya City wasikamie timu kubwa bali wanapaswa kufanya hivyo kwenye mechi zote. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: JEMBE JIPYA KUTOKA BURUNDI LAKUBALI KUTUA YANGA