Home Uncategorized VIDEO: NAMNA MANJI ALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE KWENYE MKUTANO MKUU

VIDEO: NAMNA MANJI ALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE KWENYE MKUTANO MKUU

KLABU ya Yanga leo Juni 27, 2021 wanafanya Mkutano Mkuu wa Mwaka 2021 kwenye ukumbi wa DYCC, uliopo Zimbabwe Road, Temeke mkabala na Chuo cha Ualimu pamoja na Uwanja wa Benjamin Mkapa, miongoni mwa waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na aliyekuwa Mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji na alipokelewa kwa shangwe kubwa.

 

SOMA NA HII  MRISHO NGASSA AWAAGA MASHABIKI WA YANGA, HATUKUWEPO KIKOSI CHA MSIMU WA 2020/21