Home Uncategorized KOCHA REAL MADRID ATOA MSAADA AFRIKA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA VIRUSI...

KOCHA REAL MADRID ATOA MSAADA AFRIKA KWA AJILI YA KUPAMBANA NA VIRUSI VYA CORONA

ZINEDINE Zidane, Kocha Mkuu wa Real Madrid ametoa msaada wa vifaa tofauti katika hospitali za nchini Algeria kwa ajili ya kupambana na Virusi vya Corona.

Kwa sasa dunia inapambana na janga la Virusi vya Corona ambavyo vinasambaa kwa kasi na kufanya ligi nyingi nchini kusimamishwa.
 Zidane ambaye ni raia wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria amejitolea msaada katika hospital huku nchi hiyo kwa upande wa Afrika imeonekana kupata maambukizi zaidi na watu 200 tayari wamefariki.
 Zidane anakuwa ameungana makocha wengine kama Pep Guaridola wa Man City kujitolea fedha zao kwa ajili ya kuwasaidia wahanga wa Virusi vya Corona.
SOMA NA HII  KAGERA SUGAR: HATUJAKATA TAMAA KUPOTEZA MBELE YA MBEYA CITY