Home video MASAU BWIRE APIGA MKWARA, ULINZI WAIMARIKA

MASAU BWIRE APIGA MKWARA, ULINZI WAIMARIKA

OFISA Habari wa Ruvu Shooting Masau Bwire ameweka wazi kuwa wanahitaji kufanya vizuri kwenye ligi huku akibainisha kupitia kampuni ya ulinzi ambayo wapo nayo kwa sasa itakuwa ni ngumu kumsumbua pale mechi zinazoitwa kubwakubwa zitakapoisha.

 

SOMA NA HII  VIDEO: COASTAL UNION WAZITAKA POINTI TATU ZA SIMBA