Home video NGURUMO ZA SIMBA WAFANYA TUKIO KUBWA KUELEKEA SIMBA DAY

NGURUMO ZA SIMBA WAFANYA TUKIO KUBWA KUELEKEA SIMBA DAY

NGURUMO ya Simba wafanya matendo ya kijamii ikiwa ni Wiki ya Simba Day kuelekea Simba Day inayotarajiwa kufanyika Septemba 19, Uwanja wa Mkapa.


 Siku hiyo kutakuwa na burudani pamoja na utambulisho wa wachezaji watakaokuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2021/22.

 

SOMA NA HII  NAHODHA WA U 20 ABAINISHA KUWA MALENGO YAO NI KUCHEZA KOMBE LA DUNIA