Home news ORODHA YA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOANZA MAZOEZI LEO BOKO

ORODHA YA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOANZA MAZOEZI LEO BOKO

0


KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Oktoba 6 kimeendelea na mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya mechi za kimataifa pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Hawa hapa baadhi ya wachezaji ambao wameanza mazoezi leo, Uwanja wa Boko:-

Beno Kakolanya 

Jeremiah Kisubi

Ally Salim

Inonga Baka

Pascal Wawa 

Ibrahim Ajibu

Pape Sakho

Sadio Kanoute 

Jimsony Mwanuke

Yusuph Mhilu

Hassan Dilunga

Bernard Morrison 

Chris Mugalu 

Abdulswamad

Gadiel Michael