Home news BAADA YA KUKAA MUDA MREFU KIDOGO MOROCCO…KISINDA KAMA CHAMA…AFUNGUKA ISHU YA KURUDI...

BAADA YA KUKAA MUDA MREFU KIDOGO MOROCCO…KISINDA KAMA CHAMA…AFUNGUKA ISHU YA KURUDI YANGA…


MZEE wa spidi 120, Tuisila Kisinda ambaye kwa sasa yupo ndani ya RS Berkane amesema kuwa anaweza kuja kucheza Tanzania tena ikiwa Yanga watahitaji huduma yake.

Kisinda alikuwa anacheza Yanga alijiunga na RS Berkane mwanzoni mwa msimu huu wa 2021/22 na jana alikuwa katika kikosi cha kwanza kilichoshinda mabao 2-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa Kombe la Shirikisho, hatua ya makundi ambapo Simba ipo kundi D.

Kisinda amesema:”Naongea tu Yanga ni nyumbani kama bosi ananitaka ninarudi kucheza fresh, tutaongea tu fresh.

β€œKwenye mpira hapa tunacheza na Tanzania tunaweza kucheza kwenye mpira fresh tu kila kitu kinawezekana,”.

SOMA NA HII  KISA SIMBA....YANGA WAJA NA MPANGO WA KUWACHUNGUZA WACHEZAJI WAKE WASIHUJUMU TIMU