Habari za michezo

BAADA YA WAARABU KUAMRIWA KUMLIPA FIDIA YA BIL1.6 ..MSUVA AWAPA SHARTI HILI GUMU…WAKIZINGUA FIFA INAWACHORA…

admin July 15, 2022 3:49 pm


Baada ya kuwagaragaza mbele ya Kamati za Shirikisho la Soka Duniani, Mshambuliaji wa Tanzania Simon Msuva amepanga kupokea pesa zake kwa awamu moja tu na si vinginevyo kutoka katika klabu yake ya awali ya Wydad Casablanca.

FIFA imeiamuru klabu ya Wydad Casablanca kumlipa mchezaji huyo Tsh bilioni 1.6 ambayo kwa mujibu wa Msuva pesa hiyo inatakiwa kulipwa ndani ya siku 45 kutoka siku ya maamuzi ya FIFA.

Sasa Msuva amesema pesa hiyo hataki ilipwe kwa awamu bali yeye anataka kuipokea kwa mara moja tu.

KUHUSU HATMA YA KAGERE MSIMBAZI KWA MSIMU UJAO….AHMED ALLY AFUNGUKA NAMNA MAKUBALIANO YALIVYO… KISA SIMBA KUPATA MDHAMINI MPYA….BOSI SportsPesa ATAMBA KUIPA YANGA UDHAMINI WA KIHISTORIA…DAU LAKE SIO POA…

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply