Home Habari za michezo KOCHA SIMBA AMPIGA KO NABI…BALEKE AMCHAKAZA MAYELE VIBAYA MNO

KOCHA SIMBA AMPIGA KO NABI…BALEKE AMCHAKAZA MAYELE VIBAYA MNO

Habari za Simba SC

Straika Jean Baleke, kocha mkuu wa Simba, Roberto Oliveria ‘Robertinho’ na Meneja wa uwanja wa Highland Estate, Malule Omary wamekabidhiwa tuzo zao za mwezi Machi baada ya kufanya vizuri katika nafasi zao.

Baleke aliibuka mchezaji bora ligi kuu wa mwezi huo akiwashinda wenzake Jeremiah Juma na Daruwesh Saliboko alioingia nao kwenye kinyang’anyiro.

Kwa upande wake Robertinho aliwashinda Kocha Mkuu wa Yanga, Nassredin Nabi na Abdalah Mohamed ‘Bares’.

Naye Meneja Omary alochaguliwa na kamati ya tuzo kufuatia kuweka vizuri miundombinu ya uwanja. Tuzo hizo zimetolewa leo kwenye uwanja wa Highland Estate Mbarali wakati Simba na Ihefu zikijiandaa kuingia uwanani kucheza mchezo wao wa ligi kuu.

SOMA NA HII  YANGA WASHINDWE WENYEWE AISEE...CAF WAIPA URAHISI WA KUBEBA UBINGWA WA SHIRIKISHO...