Home Habari za michezo MAPYA YAIBUKA JANGWANI…HARMONIZE “SITOISHABIKIA TENA YANGA SC

MAPYA YAIBUKA JANGWANI…HARMONIZE “SITOISHABIKIA TENA YANGA SC

MAPYA YAIBUKA JANGWANI...HARMONIZE

Msanii anayefanya vyema katika game ya Bongo Fleva, harmonize kupitia insta story yake ameshea ujumbe ambao anasema
hatoshangilia tena ushindi wa @yangasc kwa sababu kushinda kwao imekuwa ni kawaida.

Harmonize amesema atashangilia Labda siku Yanga wakicheza na Klabu ya Chelsea kutoka England.
Tazama hapa chini alichoandika Harmonize;

SOMA NA HII  DAKIKA 20 ZA GIZA MECHI YA YANGA VS RIVERS UNITED...TANESCO WARUKA WAFUNGUKA HAYA