Home Habari za michezo BAADA YA SIMBA KUELEKEA KILIMANJARO KUZINDUA JEZI, NAMUNGO NAO WAFANYA HILI

BAADA YA SIMBA KUELEKEA KILIMANJARO KUZINDUA JEZI, NAMUNGO NAO WAFANYA HILI

WAKATI vilabu mbalimbali vikiwa katika harakati za usajili na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, timu ya Namungo imeweka kambi mkoani Arusha.

Taarifa ya Namungo imesema maandalizi kwa ajili ya msimu mpya yanafanyika kwenye viwanja vya kituo cha kukuza vipaji cha Black Rhino, Karatu.

“Tayari kikosi kimeshawasili Karatu kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya wa mashindano 2023/2024,”

Namungo imetoa taarifa hiyo baada ya kuzindua jezi mpya zitakazotumika msimu mpya ujao.

SOMA NA HII  HUYU HAPA REFA ATAKAYECHEZESHA MECHI YA YANGA...KUMBE ALICHEZESHA MECHI YA PSG NA INTER