Home Habari za michezo LUIS MIQUISSONE NI MNYAMA RASMI, ISHU YAKE NA AL AHLY IMEZIMWA HIVI

LUIS MIQUISSONE NI MNYAMA RASMI, ISHU YAKE NA AL AHLY IMEZIMWA HIVI

RASMI Luis Miquissone ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ambacho kimeweka kambi Uturuki kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24.

Nyota huyo ni chaguo la mashabiki ambao walipewa chaguo la kumtaja nani ambaye atarejea kwa kuwa alibaki mmoja kati ya wawili ambao Simba ilipanga kuwarejesha.
David Kameta ambaye ni beki huyu alianza kisha swali likabaki ni nani atakuwa wa pili ndani ya Simba.

Hatimae leo Julai 22 ametambulishwa Luis aliyekuwa ndani ya Al Ahly ambapo huko alifikia makubaliano ya kuvunja mkataba na mabosi wake hao.

SOMA NA HII  ROBERTINHO ANOGESHA USAJILI WA SIMBA AJA NA MDAKA RISASI KUTOKA BRAZILI...... HUKU SABABU ZAKUWEKA KAMBI UTURUKI ZATAJWA