Kocha Mkuu wa Namungo ambaye msimu uliopita alikuwa Msaidizi pale Yanga, Cedric Kaze anaendelea kukinoa kikosi chake ili wafanye kweli tarehe 20 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa NBC Primier League.
Kocha Mkuu wa Namungo ambaye msimu uliopita alikuwa Msaidizi pale Yanga, Cedric Kaze anaendelea kukinoa kikosi chake ili wafanye kweli tarehe 20 dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa NBC Primier League. Yanga wametamba kuifumua Namungo ili kurudi kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Bara ambao unaongozwa na Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma.