Home Habari za michezo MAMBO NI MOTO CHAMPIONSHIP KOCHA MWINGINE ATUPIWA VIRAGO

MAMBO NI MOTO CHAMPIONSHIP KOCHA MWINGINE ATUPIWA VIRAGO

BIASHARA UNITED YASHINDWA KUJIENDESHA...WALIPIWA MADENI ZAIDI YA MIL 39...TIMU KUBADILISHWA JINA

Klabu ya @standunitedfc ‘Chama la Wana’ yenye maskani yake Shinyanga, imemfuta kazi kocha wake mkuu Zulkifri Iddy, kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la kwanza (NBC Championship).

Hadi sasa Stand United FC imecheza michezo sita, imeshinda miwili, sare moja na kupoteza mitatu, ikiwa na alama 7 nafasi ya 11 kwenye msimamo.

Stand United FC inakuwa timu ya pili ya NBC Championship msimu huu kumfuta kazi kocha wake, baada ya FGA Talents FC ya mjini Morogoro iliyomfuta kazi Flugence Novatus

SOMA NA HII  UNAMBIWA HUYO MUSONDA HUKO YANGA NI KUWA KAZINI KWAKE KUNA KAZI