Home Habari za michezo SINGIDA YA KIMATAIFA NJE YA DIMBA

SINGIDA YA KIMATAIFA NJE YA DIMBA

Habari za Michezo

Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri.

Timu ya Singida Big Stars imetupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kufungwa mabao 4-1 na wenyeji, Modern Future katika mchezo wa marudiano Hatua ya 16 Jumapili jioni Uwanja wa WE Al-Ahly mjini Cairo nchini Misri. Singida Big Stars inatolewa kwa kichapo cha jumla cha mabao 4-2 kufuatia kushinda 1-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki mbili zilizopita Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.

SOMA NA HII  BENCHIKHA HATAKI MASIHARA AWAACHA MASTAA HAWA KUELEKEA BOTSWANA ISHU NZIMA IKO HIVI