Home Habari za michezo RASMI KIRAKA WA SOKA NI MWANANCHI

RASMI KIRAKA WA SOKA NI MWANANCHI

Klaby ya Yanga imekamilisha usajili na kumtambulisha rasmi kiungo wa boli, Shekhan Ibrahim Hamis kutoka JKU ya Zanzibar.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 18, amepewa mkataba wa miaka mitatu kuwenda kuongeza nguvu katika kikosi Wananchi.

Huo ni usajili wa kwanza kwa Yanga SC katika kipindi hiki cha usajili wa dirisha dogo msimu huu.

SOMA NA HII  HALI MBAYA YA MAHUJAA FC YAMBAGIHA MANYANGA BARESI