Home Habari za Simba Leo VILABU 10 BORA KWA MUJIBU WA CAF…SIMBA WAMO

VILABU 10 BORA KWA MUJIBU WA CAF…SIMBA WAMO

HABARI ZA SIMBA

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25.

Miongoni mwa Vilabu bora kwa sasa Afrika, Simba inashika nafasi ya 7 kwa ubora huku ikiwa ndiyo timu pekee iliyoingia 10 bora kwa timu za Afrika Mashariki.

Licha ya ubora mkubwa walionao Yanga kwa sasa, lakini wameshindwa kupenya kwenye viwango vikubwa vya CAF kwa timu 10 za juu.

1. Al Ahly (Egypt) – 87 points
2. Esperance (Tunisia) – 61 points
3. Wydad AC (Morocco) – 60 points
4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points
5. Zamalek (Egypt) – 48 points
6. RS Berkane (Morocco) – 42 points
7. Simba (Tanzania) – 39 points
8. Petro de Luanda (Angola) – 39 points
9. TP Mazembe (DR Congo) – 38 points
10. CR Belouizdad (Algeria) – 36 points

SOMA NA HII  KWA MARA YA KWANZA...SIMBA WAFUNGUKA MIPANGO YAO HII YA SIRI MECHI NA WYDAD AC