Home Habari za Simba Leo HII NDIO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA!!

HII NDIO MAANA HALISI YA UBAYA UBWELA!!

Haya Mambo ya Man Of the Match Simba SC kwa Misimu mitatu mfululizo walikua wanazisikia kwenye bomba lakini Msimu huu, wanabeba kila Mechi.

Hizi tuzo zina Maana kubwa sana kwa Wachezaji wa Simba, kuongeza Upambanaji uwanjani lakini, Kucheza jihadi kila mechi hadi wanawapa tabu Kamati ya tuzo wampe nani kwasababu kila Mchezaji anaonesha ubora Mkubwa.

Hadi sasa Simba imecheza michezo minne ya Ligi na wamefanikiwa kutwaa tuzo hizo kwenye mechi zote kuanzia mechi ya Tabora Utd hadi ya Jana Junapili dhidi ya Dodoma Jiji.

Kwenye mechi ya Tabora Utd mchezaji bora alikuwa ni Che Malone Fondoh, mechi na Fountain Gate FC alikuwa Jean Ahoua, mechi na Azam FC alikuwa Camara Pinpin, huku mechi na Dodoma Jiji alikuwa Deborah Fernandez Mavambo.

UBAYA UBWELA UMERUDI MSIMBAZI.

SOMA NA HII  KIPA CBE BADO ANAMUWAZA DUBE