Home Habari za Simba Leo HUYU ATEBA AWAFIKIRISHA WAPINZANI… MECHI 4 BAO 3

HUYU ATEBA AWAFIKIRISHA WAPINZANI… MECHI 4 BAO 3

Leonel Ateba ni mshambuliaji mzuri, ndani ya mechi chache ameonesha kiwango murua sana na kuisaidia timu yake kwenye upatikanaji wa matokeo mazuri.

Kwenye mechi 4 alizocheza (tatu za ushindani na moja ya kirafiki) amefanikiwa kufunga magoli 3.

Lakini licha ya kufunga,ana vitu vingi mguuni kiufundi uwezo wa kukomba walinzi bila presha, mapambano ya 1v1 Kwa kigezo cha utimamu wa kimwili yupo vizuri, kucheza maeneo tofauti tofauti(kulia, kushoto na Center as his role) na kuivuruga safu ya ulinzi ya timu pinzani.

Kufanya Link Up na teammates kuandaa shambulizi kupitia yeye.

Simply ndani ya muda mfupi amempa uhakika kocha Fadlu Davids kwamba kuna mshambuliaji ndani yake.

SOMA NA HII  FT:SIMBA 3-0 COASTAL UNION....'KOMBINESHENI' YA CHAMA NA MIQUISSONE MHH...!!