Home Habari za Simba Leo ISRAEL MWENDA KUIPELEKA TIMU YAKE FIFA

ISRAEL MWENDA KUIPELEKA TIMU YAKE FIFA

HABARI ZA SIMBA-ISAREL MWENDA

ALIYEKUWA Beki wa kulia wa Simba Israel Patrick Mwenda inaelezwa kuwa changamoto aliyokutana nayo akiwa Singida BS huenda ikamfanya, afikishe kesi na malalamiko yake FIFA.

Mwenda ambaye awali Uongozi wa Simba ulimfuata na kumpa mkataba mpya, kisha kumtambulisha kama sehemu ya wachezaji wa klabu hiyo kwa msimu huu wa 2024/25, lakini baadae kijana akamwaga mboga madai yake anataka kusaka changamoto mpya.

Akiwa Simba Patrick Mwenda aliongezewa Mkataba na kupewa mzigo mzuri lakini baadae akasema anarudisha anakwenda kutafuta changamoto kwingine ndani ya Singida Black Star’s.

Inaelezwa kwamba pesa aliyosaini huko hakupewa yote hivyo hajajiunga na timu hiyo akishinikiza kukamilishwa pesa yake lasivyoo atakwenda kuishataki timu yake hiyo katika shirikisho la mpira Duniani FIFA.

SOMA NA HII  BAADA YA KUONA MAMBO MAGUMU...KRAMO AOMBA KURUDI KWAO KUJIPANGA UPYA...