Home Habari za michezo TAIFA STARS TAYARI KUIVAA ETHIOPIA

TAIFA STARS TAYARI KUIVAA ETHIOPIA

taifa stars

KAIMU Kocha Mkuu wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema kuwa Wachezaji wake wanaendelea kufanya maandalizi sahihi kuelekea kwenye mechi dhidi ya Ethiopia kuwania kufuzu Kombe la Dunia.

Morocco amesema asilimia 100 ya wachezaji Wote wa ndani wameshaingia kambini na wanasubiri baadhi ya wachezaji wa Kimataifa na wao kuweza kuingia kambini.

Stars wanatarajia kucheza na Ethiopia Dar Septemba 4 kabla ya kuvaana na Guinea siku za mbeleni.

“Kila kitu kinakwenda vizuri kwenye timu, wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani Wote wapo kambini tayari, tunasubiri wale Wachache wanaocheza nje kuweza kuungana na wenzao,” alisema Morocco.

SOMA NA HII  MUDA WOWOTE BALEKE KUTAMBULISHWA YANGA...STORI IKO HIVI