Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

YANGA YAONGEZA KIUNGO MWINGINE

0
YANGA Princess imekamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Adebisi Ameerat kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Hapoel Petach Tikva. Mchezaji huyo ambaye ana uwezo...

PIGO KWA YANGA…FARID MUSSA NJE MIEZI MITATU

0
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi watakosa huduma ya kiungo wao wa kazi Farid Mussa. Ipo wazi Yanga...

HATIMAYE MSUVA AJIPATA ULAYA

0
MCHEZAJI wa ZamaniΒ  wa Yanga na Wydad Casablanca ya Morocco Simon Msuva anakwenda kuanza maisha mapya Ulaya katika timu iliyopo Jamhuri ya Iraq huko...

SAKATA LA KAGOMA NA YANGA UKWELI NI HUU.

0
KLABU YA YANGA na Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu bara, wamewasilisha nyaraka mbili muhimu kwenye shauri linaloendelea la kimkataba kati yao na Mchezaji Yusuph...

DJUMA SHABAN ASEPA ZAKE UFARANSA

0
BEKI wa zamani wa Yanga, Djuma Shaban anayekipiga Namungo kwa sasa, ametimka nchini kwenda Ufaransa, huku akifunguka kilichofanya aende huko akiwa amepewa muda wa...

FREDDY ATEMWA USM ALGER…ARUDI YANGA

0
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Freddy Michael ameshindwa kujiunga na USM Alger ya Algeria kwa kigezo cha kutowahi kuichezea timu ya taifa, lakini mwenyewe amezima...

WYDAD YARUDI TENA KWA MZIZE NA BIL 2.1

0
Klabu ya Wydad Casablanca imetuma ofa ya tatu kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize, imefahamika. Matajiri hao kutoka ligi kuu ya Morocco...

YANGA YAMSAMEHE MCHEZAJI WA SIMBA

0
USAJILI wa kiungo Yusuph Kagoma ulikuwa na sintofahamu mwanzoni, kabla ya kutambulishwa rasmi na Simba kama mchezaji wao halali. Awali kulikuwa na Taarifa za kwamba...

TP MAZEMBE YAMUOMBA STRAIKA WA YANGA

0
Rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi ameiomba klabu ya Yanga kupitia kwa Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi wawaazime mshambuliaji wao mpya, Sabinah Tom. Klabu...

BEKI WA ZAMANI SIMBA…ATUA BAROKA YA AFRIKA KUSINI

0
ALIYEWAHI kuwa beki wa Simba SC na Coastal Union Abdi Banda amerejea katika kikosi cha Baroka cha Afrika Kusini alichokitumikia akitokea Richards Bay. Nyota huyo...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS