Home Authors Posts by Abubakar

Abubakar

1083 POSTS 0 COMMENTS

TULIKAA KINYONGE SANA…MUDA WA KUFURAHI NA KUNUNA UMERUDI…LIGI KUU YA MOTO

0
Sasa kazi inaanza rasmi. Ligi Kuu Bara inaanza leo Ijumaa, lakini kesho kuna mechi nyingine nne za ligi hiyo ukiwamo ule wa Simba dhidi...

GAMONDI HATAKI MCHEZO…APIGA BITI ZITO KWA MASTAA WAKE

0
IMEBAKI siku moja kabla ya Yanga kushuka uwanjani kuvaana na Vital’O ya Burundi katika mechi ya awali ya raundi ya kwanza ya Ligi ya...

AWESU ARUDI SIMBA USIKU WA MANANE

0
Klabu ya KMC imethibitisha kufikia makubaliano na Simba SC juu ya uhamisho wa mchezaji Awesu Ali Awesu ambaye awali KMC walimuwekea pingamizi kucheza Simba...

SIMBA YATUMIA MAMILIONI USAJILI WA ATEBA…MWENYEWE AFUNGUKA

0
SIMBA imeshamshusha straika mpya Leonel Ateba baada ya kufikia makubaliano na USM Alger ya Algeria kwa ajili ya uhamisho wa raia huyo wa Cameroon...

EXPANSE KASINO INAKUBADILISHIA MAISHA

0
Kaa karibu na Utajiri kwa kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni, shindano la Expanse Kasino linasaka washindi 40 ambao watanufaika kwa mazawadi kibao. Cha...

CLEMENT MZIZE ANAHITAJIKA ZAIDI WYDAD…WAARABU HAWAJAKATA TAMAA

0
KLABU ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco haijaondoa Kabisa uwezekano wa Kupata Saini ya Clement Mzize ingawa Yanga Africa hawapo tayari kufanya hii Biashara...

ATEBA AMTOA AYOUB SIMBA..FADLU AONGEZA MWINGINE BENCHI LA UFUNDI.

0
Baada ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji Leonel Ateba, Uongozi wa Simba umefikia makubaliano ya kumalizana na Ayoub Lakred kwa lengo la kupisha usajili huo. Ayoub...

FISTON MAYELE AKOSA UFUNGAJI BORA

0
Mshambuliaji wa Klabu ya Pyramids ya nchini Misri Fiston Kalala Mayele ameshindwa kuwa mfungaji wa Ligi Kuu ya Misri mara baada ya kufanikiwa kufunga...

KWA TAKWIMU HIZI STRAIKA MPYA SIMBA…ANA KAZI YA KUFANYA…GEFLEA AMCHAMBUA

0
Leonel Ateba ni jina la usajili mpya wa Simba ambaye wamemsajili  kutokea klabu ya USM Alger tena kwa gharama kubwa. Takwmi za ufungaji za Ateba...

VILABU 10 BORA KWA MUJIBU WA CAF…SIMBA WAMO

0
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25. Miongoni mwa Vilabu bora kwa sasa Afrika, Simba inashika...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS