Home Authors Posts by admin

admin

25257 POSTS 9 COMMENTS

SIMBA Vs YANGA: YANGA YATUMA UJUMBE HUU KWA SIMBA

0
 ZIKIWA zimebaki siku tano kabla ya watani wa jadi Simba na Yanga kumenyana Uwanja wa Mkapa, nyota wa kikosi cha Yanga Said Ntibanzokiza amesema...

ORODHA YA NYOTA SITA YANGA AMBAO MIKATABA YAO INAELEZWA KUFIKA UKINGONI

0
IMEELEZWA kuwa miongoni mwa nyota wa kikosi cha Yanga kwa sasa wanacheza wakiwa wanatambua kwamba mikataba yao inakaribika kufika ukingo msimu utakapomeguka 2020/21.Miongoni mwa...

ONYANGO: AWAOMBA MASHABIKI MBELE YA YANGA

0
JOASH Onyango, beki kisiki wa Simba amesema kuwa kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar walikuwa chini ila...

VIDEO: KAGERA SUGAR WATAJA SABABU YA KUFUNGWA,

0
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Kagera Sugar, Yusuph Mhilu amesema kuwa walimuahidi mwalimu wao, (Francis Baraza) ushindi ili kumfariji ila walikwama kwa kufungwa mabao 2-1...

SIMBA: TUTAPATA PENALTI 5 MBELE YA YANGA

0
SHABIKI wa Simba, maarufu kama Simba Ulaya amesema kuwa mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Kagera Sugar wakati wakishinda mabao 2-1 ulikuwa ni...

VAN DIJK AANZA MAZOEZI, AREJESHA MATUMAINI

0
 BEKI wa kati Virgil van Dijk ameanza kuwapa furaha mashabiki wa timu yake ya Liverpool baada ya kuweka video mtandaoni ikimuonyesha akifanya mazoezi ya kukimbia ikiwa ni mwendelezo wa kurejea uwanjani. Beki...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
 MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

DODOMA JIJI YAICHAPA KMC MABAO 2-0, YATINGA ROBO FAINALI

0
 KIKOSI cha Dodoma Jiji kinachonolewa na Kocha Mkuu, Mbwana Makata kimetinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC.Mchezo huo...

SIMBA YAPENYA HATUA YA ROBO FAINALI MBELE YA KAGERA SUGAR

0
LICHA ya Kagera Sugar kuanza kumtungua mapema kwa kichwa mlinda mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula dakika ya 45 kupitia kwa Eric Mwaijage...

SIMBA SC YAFUZU ROBO FAINALI FA CUP KIBABE

0
 Mabingwa wa Watetezi wa Ligi Kuu Tanzania na kombe la FA , Simba SC imefanikiwa kuingia hatua ya  Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS