Home Authors Posts by admin

admin

25386 POSTS 9 COMMENTS

YANGA YAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA MWADUI FC TAIFA KWA KUFUNGANA BAO...

0
YANGA leo imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Mwadui FC Kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Taifa, Julai 18.Yanga ilianza...

KESHO NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

0
Kesho ndani ya Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

DODOMA JIJI WAIPIGA BAO 1-0 GWAMBINA FC, WABEBA TAJI LA LIGI...

0
DODOMA Jiji leo wameibuka Mabingwa wa Ligi Daraja la Kwanza kwenye mchezo wa fainali uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Julai 18.Bao pekee la ushindi...

HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MWADUI FC...

0
Metacha MnataJuma AbdulAdeyum SalehSaid MakapuLamine MoroKelvin YondaniMrisho NgassaFeisal SalumDavid MolingaDitram NchimbiDeus KasekeAkibaRamadhan KabwilPaul GodfreyAlly MtoniAbdulaziz MakamePatrick SibomanaErick KabambaYikpe Gnamien

LUIS WA SIMBA AINGIA ANGA ZA TIMU KUTOKA URENO

0
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Grupo Desportivo de Chaves inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza Ureno imemtengea winga wa Simba, Luis Miquissone kiasi cha shillingi bilioni...

SIMBA YAIPIGA ALLIANCE FC MABAO 11

0
ALLIANCE FC iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo ikiwa na pointi 21 baada ya kucheza mechi 35 haijawahi kusepa na pointi tatu mbele ya...

BEKI YANGA HATA HAELEWI SABABU YA KUTOPEWA NAFASI KIKOSI CHA KWANZA

0
BEKI wa Yanga, Andrew Vincent ‘Dante’, amesema kuwa yupo fiti kwa asilimia zote, lakini anashangaa kwa nini hachezi ndani ya kikosi hicho.Dante awali alitajwa...

SASA SIMBA YAINGILIA MAZIMA DILI LA MTUPIAJI ALIYEKUWA ANAWINDWA NA YANGA

0
INAELEZWA kuwa Simba imeamua kuvuruga mipango ya Yanga kwa kuipata saini ya straika wa Namungo FC, Reliants Lusajo baada ya kuzunguka upande wa pili...

MTIBWA SUGAR V KMC VITA YA KIBABE LEO GAIRO

0
THOBIAS Kifaru,  Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa leo watashinda mchezo wao wa Ligi Kuu Bara mbele ya KMC utakaopigwa Uwanja wa Gairo,...

MANCHESTER UNITED WAJIRUDI TENA KWA JADON SANCHO

0
INAELEZWA kuwa Manchester United wameamua kulifufua dili la kuisaka saini ya kinda anayekipiga Borussia Dortmund, Jadon Sancho huku wakihitaji kufanya makubaliano na mabosi wa...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS