admin
BAADA YA KUIBUKA TAIFA MBELE YA SINGIDA UNITED, YIKPE AFICHUA KILICHO...
BAADA ya kufanikiwa kufuta ukame wa miezi sita bila kufunga bao lolote ndani ya Yanga, mshambuliaji wa klabu hiyo, Yikpe Gislain Gnamien, amefunguka kilichokuwa...
OWEN CHAIMA AMUWAZIA MAKUBWA NCHIMBI WA YANGA
OWEN Chaima kipa namba moja ndani ya Klabu ya Singida United amesema kuwa anamuombea dua nyota wa Yanga, Ditram Nchimbi afike mbali Kwenye maisha...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
MORRISON AKINUKISHA TENA YANGA ADAI HAJALIPWA MKWANJA WAKE, UONGOZI WA YANGA...
KIUNGO mtata wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison amesema kuwa kwa sasa ni mchezaji huru hivyo anasubiria ruhusa ya Shirikisho la Soka Tanzania...
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO KUENDELEA NAMNA HII KWA TIMU...
Ligi Kuu Bara leo inaendelea ambapo mechi zitakuwa namna hii kwenye viwanja tofauti:- Namungo v Tanzania Prisons, Uwanja wa Majaliwa.Yanga v Mwadui FC, Uwanja wa...
NYOTA WAWILI WA YANGA KUIKOSA MWADUI FC LEO, ISHU YA MORRISON...
Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa atakosa huduma ya viungo wake wawili Kwenye mchezo wa leo dhidi ya Mwadui FC wa Ligi...
SIMBA YATAJA IDADI YA MAJEMBE ITAKAYOSAJILI MSIMU HUU
UONGOZI wa Simba umesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ndani ya Klabu hiyo ni kuongeza majembe matano ya kazi pale dirisha la usajili litakapofunguliwa.Kwa...
SIMBA WANAWAZA KUWEKA REKODI MPYA NDANI YA BONGO
KLABU ya Simba imeeleza kuwa licha ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, wanahitaji rekodi zaidi kwa kutwaa Kombe la FA,...
MWADUI FC YAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA KESHO TAIFA
UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa unahitaji pointi tatu mbele ya Yanga watakapokutana kesho Uwanja wa Taifa. Mwadui FC imetoka kupokea kichapo cha mabao 3-2...
AZAM FC YAANZA KUIVUTIA KASI LIPULI FC
KIKOSI cha Azam FC leo kimefanya mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Lipuli FC utakaopigwa Jumapili, Uwanja wa...