admin
YANGA YA GSM NOMAA.. YASHUSHA BEKI KISIKI KUTOKA RWANDA..!!
BAADA ya kumalizana na Winga Mkongomani, Tuisila Kisinda Yanga wamenasa tena saini ya beki Mnyarwanda, Erick Rutanga ambaye amewaambia mashabiki wasubirie utamu wake Taifa.Rutanga...
RASMI…MSAUZI AMUONDOA TSHISHIMBI YANGA..!!
NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi hatacheza mechi ya keshokutwa dhidi ya Namungo.Tshishimbi alikuwa anafikiri angeweza kucheza mchezo huo na tayari alishajiandaa lakini mmoja wa...
LIVE:YANGA 0-0 AZAM FC
Zinaongezwa dakika 2Dakika ya 45 zinakamilika hakuna timu iliyoona langoDakika ya 38 Haule anapewa huduma ya kwanzaDakika ya 33 Idd anapaisha nje kidogo ya...
KIKOSI RASMI CHA AZAM FC DHIDI YA YANGA LEO UWANJA WA...
HIKI hapa kikosi rasmi cha Azam FC dhidi ya yanga Uwanja wa Taifa leo Juni 21
KUHUSU SHIBOUB KURUDI SIMBA..UKWELI WA MAMBO HUU HAPA..!!
MAMBO yameendelea kuwa magumu kwa kiungo wa Simba, Shaaraf Shiboub ambaye yupo kwao Sudan kutokana na janga la corona hivyo, marufuku ya watu kutoka...
HIKI HAPA SASA KIKOSI CHENYEWE RASMI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO UWANJA...
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza chenyewe sasa kitakakachoanza leo Uwanja wa Taifa dhidi ya Azam FC
HIVI NDIVYO ITAKAVYOKUWA JESHI LA AZAM FC LEO DHIDI YA YANGA
IKIWA leo Juni 21, Azam FC itakaribishwa na Yanga, Uwanja wa Taifa majira ya saa 10:00 jioni, kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra...
FUNGIAFUNGIA IMEANZA NI MUHIMU KWA WENGINE KUONGEZA UMAKINI
Waswahili wanasema mwenzio akinyolewa basi ujiandae kwa kutia maji kichwani yaani uwe tayari kwa kunyolewa na wewe.Unajua nimesema hivyo kwa nini? Kwasababu fungia fungia...
MAPEMA TU KAZI ISHAISHA TAIFA, MIFUMO NA MBINU ZA MAKOCHA WOTE...
ITAFAHAMIKA leo baada ya dakika 90 zile tambo za Yanga na Azam FC ambazo zilikuwa zinatawala kwa kila mmoja kuvuta kwake Uwanja wa Taifa.Mashabiki...
LAMINE MORO ANA KICHWA LAKINI MIGUU IMEMZIDI NGUVU….
Na Saleh AllyMWANADAMU huwa anafanya makosa na kama ni muungwana huwa kinachofuatia ni kujuta, sote tunalijua hili na lazima tumewahi kulipitia bila ya kujali...