admin
COASTAL UNION YAANZA KUZOEA MAZINGIRA YA MWANZA, LEO KUKIWASHA
COASTAL Union iliyo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda imeshaanza kuyazoea mazingira ya Mwanza baada ya kutia timu rasmi tangu jana.Leo, Juni 23 itashuka...
RUVU SHOOTING YAPANIA KUIPAPASA NDANDA LEO MABATINI
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa waliokuwa wanawabeza baada ya kupokea kichapo cha mabao 2-1 mbele ya KMC wasitarajie watafungwa leo...
BODI YA LIGI YATHIBITISHA KUPOKEA BARUA YA AZAM FC, INAYOZUNGUMZIA MABAO...
MWENYEKITI wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa wamepokea barua ya malalamiko ya Klabu ya Azam FC iliyopelekwa kwenye dawati lao.Juni, 21...
MINZIRO: TUPO KWENYE NAFASI MBAYA, NIMEWANOA WACHEZAJI KUIMALIZA COASTAL UNION
KOCHA Mkuu wa Mbao FC, Felix Minziro amesema kuwa amewanoa wachezaji wake vizuri kuelekea kwenye mchezo wao utakaocheza dhidi ya Coastal Union Uwanja wa...
MANCHESTER CITY WATEMBEZA MKONO KWA BURNEY
PHIL Forden, nyota wa Manchester City alifungua pazia la ushindi wa mabao 5-0 mbele ya kikosi cha Burnley kwenye mchezo wa Ligi Kuu England...
AZAM FC YAKWEA PIPA KUWAFUATA KAGERA SUGAR
KIKOSI cha Azam FC leo kimwekwea pipa kuelekea Bukoba kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa kesho Uwanja...
SABABU YA SINGIDA UNITED KUYEYUSHA POINTI TATU MBELE YA WANAJESHI CORONA...
SINGIDA United iliyo chini ya Kocha Mkuu, Ramadhan Nzwanzurimo imezidi kuwa kwenye hali tete baada ya Juni 20 kukubali kichapo cha mbele ya JKT...
HILI HAPA JESHI LA SIMBA LILILOTIA TIMU MBEYA,KESHO KULIWASHA DUDE
HII hapa orodha ya wachezaji wa Simba ambao wapo Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mechi mbili za Ligi Kuu Bara.Kesho, Juni 24 wataanza...
MNIGERIA : HUYU NDEMLA HUYU..!!!
STRAIKA wa Mwadui FC, Raphael Aloba ‘Obina’ amesema kupotezwa na viungo wa Simba SC, wakiongozwa na Said Ndemla ndio sababu iliyowafanya kukumbana na kipigo...
PAUL NONGA AGOMEA KUREJEA LIPULI
PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa hana mpango wa kurejea kwenye timu kwa sasa mpaka pale watakapokamilisha malipo ya mshahara wake ambao hajalipwa...